Kishore Kumar Hits

Rayvanny - TE QUIERO - COVER текст песни

Исполнитель: Rayvanny

альбом: BEST OF COVERS


Umenchanganya oh mama na sikatai (sikatai)
Ulivo sexy sexy, i'm gonna die (i'm gonna die)
Uzuri kakupa mama ruksa njidai
Harufu karafuu ya Zanzibar marashi ya Dubai
Aloh
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutena apange mwenyezi
Tunafanana kama nyota na mbalamwezi
Twaendana kutena pangea mwenyezi
Asa nibebe nikubebe
Domo zege nikatengede
Una utege, kiuno lege
Utetoboa shati na chuchu dede
Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero
Teamo teamo, te quiero
Te que, te quiero
Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero
Te que, te quiero
Aah, ah, mmh
Na s'taki mpaka nikukose nd'o nijutie, mhmm
Ama uondoke nd'o tena nilie, ah ah
Eti mpaka unitoke nd'o niseme nataka nikwambie
Ayy
Kwamba nakupenda kila nikiamka, ah ah
Na usipo toka machoni mwangu, sitamani hata kula
Nahisi raha, utamu, unaikosha nafsi yangu
Umejifungia moyoni mwangu, yani ninafuraha
Naona raha, utamu, unaikosha nafsi yangu
(Ah-aah) hivi ulikuaga wapi kipindi naumizwa
Ah-aah
Aah baby
Asa nibebe nikubebe
Domo zege nikatengede
Una utege kiuno ulege
Utatoboa shati na chuchu dede
Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero
Teamo teamo, te quiero
Te que, te quiero
Honey nakupenda, te quiero
I love you, te quiero
Teamo teamo, te quiero
Te que, te quiero
Aaahhhh
I fall in love
I fall in love

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Nandy

Исполнитель

Jux

Исполнитель

Zuchu

Исполнитель