Ayo Lizer Zest Is On this Beat Ladies & Gentlemen Macho yalikuona, moyo ukakuchagua Mdomo ukasema nakupenda aah Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua Maumivu yamekwenda aah Mi ni zawadi nilopewa Macho nipepese wapi Mi kipofu kwako sioni Penzi limetaratadi, napepewa Harufu ya marashirashi Nikitouch touch shingoni Uvae baibui khanga Viatu vya kuchuchumia kangaroo Kisima tui tanga We huba nifukizia pambe Ukizungushia shanga Inashuka inapanda chini juu Nishatafuna karanga Asa chumba ndo kiwanda watoto tu iye-iye Number one, you're my number one Number one, you're my only one Number one, you're my number one Number one, you're my only one La la la, la la la La- la-la, hmmm! Hausukumi damu moyo Unasukuma upendo wangu Niko mahabani mambo sawa, sawa Penzi nalimung'unya kibogoyo Nimepata size yangu Yaani nalioga sio kunawa, nawaa Filimbi nitapuliza kuita ndege waje Raha zimefululiza, kwako natokaje? Hadi Bububu umepitiliza, tuko kwa bibi Paje Taratibu unaniliza baba Tulivuruge varanga Chimeneza kunengua kwangaru Nikiandae kitanda Shuka za maua ua ya maroon Kisha tugonge na vianda Mambo ya kujizimua na varu Nifunge upande khanga Babu Juma we kwarua kwa kwaru Oh baby you are my Number one, (you're my one) you're my number one (My one and only) Number one, you're my only one Baby my (number one) Baby my (you're my number one) Ah i oh oh Number one, you're my only one Penzi limetaratadi, napepewa Harufu ya marashirashi Nikitouch touch shingoni Wasafi