Mtoto wa kike punguza sifa Unavyojituma hadi unatoa mishipa Wana ni wangu ila unavyojipandisha Viuno ni vingi chunga isije katika Hujui kama tuko kwenye ndoa Au umepanga kunikomoa Unavyomganda hadi unaboa Na una waganga kila mkoa Anakusifia kiuno Na unavyotoa miguno Wake mfano sugunyo Hadi unasahau kurudi nyumbani Una mafuta na asali Ukipandaga hushuki una hatari Uvunguni juu ya dari Leo nimekufuma hii show utakubali Mchepuko we mchepuko we Mchepuko niachie baby wangu Mchepuko we mchepuko we Mchepuko hebu muache Mume wangu Sa nisikilize bibi koma Simu za usiku zimezidu koma Unajifanya Beyonce wa kijiji koma Eti una viuno vya Shakira koma Hujui unanitia hasira eeeh Ntakukata shingo Baby hasira hasara Usikunje ngumi acha kuchimba mikwara Huyu anaitwa Sara Mtoto wa dada kutoka Mbezi Kimara Basi punguza papara Viwembe vya nini umnyoe mwenzio kipara Wanawake wawili msala Nimejua ninu kilimshinda Manara Iiih si wanaume Sio wasaliti mnatusingizia Si wanaume eeeh Si wanaume eeeh Ni vishawishi ndo vinatuzingua Baby acha basi minuno Unataka vunja mtu kiuno Kuchwa visa sio mfumo Usije kuua uende gerezani Umechafukwa una makali Mama usinimwagie tindikali Hiyo bunduki ni hatari Ona mtoto wa kike huogopi serikali Mchepuko we mchepuko we Mchepuko niachie baby wangu Mchepuko we mchepuko we Mchepuko hebu muache Mume wangu Sa nisikilize bibi koma Simu za usiku zimezidu koma Unajifanya Beyonce wa kijiji koma Eti una viuno vya Shakira koma Hujui unanitia hasira eeeh Ntakukata shingo