Sitaki ulie sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Salama eeh, uko salama eeh Sitaki ulie sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Salama eeh, uko salama eeh Ya nini nijichoshe mwili Wakati sijapenda Si bora tu ntulize akili Mahala nilikopenda Hata tai huruka wawili Sababu wamependana Si bora tu nitulize akili Ya nini kufosiana Love is furaha You are my furaha, nakupenda Love is furaha You are my furaha, nakuzimia Yaongeze mahaba Kisha nikupende mara saba Salama, uko salama my love Nishajifunza kuwa nakaba Siri za ndani usijetangaza Salama, uko salama beiby Sitaki ulie sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Uko salama, uko salama beiby Sitaki ulie sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Uko salama, uko salama eeh Chunga penzi usiliweke nyufa Ukaziba ukuta, penzi likaanguka Penzi tamu kuzidi asali nani anapinga Kisha jaribu ndo utajua umbali wa unapotaka Beiby niwashie taa Niko kwenye giza na we ndo mwanga Ndo mwanga, ndo mwanga Ndo mwanga, ndo mwanga eeeh Huko nyuma nishasuffer Nishajaribu mpaka vichaa Washaniumiza, niumiza eeeh Yaongeze mahaba Kisha nikupende mara saba Salama, uko salama my love Nishajifunza kuwa nakaba Siri za ndani usijetangaza Salama, uko salama beiby Sitaki ulie sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Uko salama, uko salama beiby Sitaki ulie sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Uko salama, uko salama eeh Furaha yangu ni kukuona unatabasamu Hata kama siku utanipochoka mikononi Haijalishi kwa maana nakupenda Hisia zangu haziko wazi Na wala hazijifichi mbele zako machoi Si unaona eeeh Ukiniita natabasamu Ukinigusa tu napata goosebumps Hahaha, ningepewa jina nikuchagulie Ningekuita waridi Bali na kuwa nawe tunalala kitanda kimoja Na jinsi sifaidi Natamani kumkaidi bosi niachane na kazi Nijipe likizo nisichoke kabisa Niweze kustarehe na wewe Hata pumzi itakaponizimia niwe Basi uwe wa mwisho maisha Nawaza lini Mungu atanichukua Je kifo changu kitakuwa mwisho na wewe? Naomba iwe hivyo maana sitaweza bila wewe Iwe duniani, mbinguni ahera Maana kwangu una dhamani zaidi ya hela Leo, kesho na mtondogoo I love you Sababu yangu Wewe si ndo pepo yangu Salama salama salama