This is Barnaba classic Mapenzi kizungumkuti Wenye upendo wanapigwa vibuti Mmmmmhhh aiyoooo aiyooooyoyoo Aiiyeee claaaasic Moyo wangu nyamaza, si nilikwambia ukakataa Tazama unalialia na mi leso sina sasa nifanyeeje Ah tu usiku silali Najiuliza maswali Mwenzangu anaponda raha Anabadili viwanja na bar Aai pole pole Pole moyo wangu kwa majanga aahaa Pole moyo wangu kwa visanga Siwezi jisemea maumivu Pole moyo wangu kwa majanga aaaahh Pole moyo wangu kwa visanga Kuna muda namfungua status usiku wa manane Kisa namwangalia nikijipa moyo huenda akanipigia Lakini waapi naambulia makapi Mwenzenu naona kizungumkuti Mapenzi kizungumkuti Mapenzi shkamoo,kizungumkuti aaiyaa Mapenzi kizungumkuti Mwenzenu nimekoma, kizungumkuti Mapenzi kizungumkuti Cha mtema kuni nimekiona, kizungumkuti Mapenzi kizungumkuti Mapenzi shkamoo, shkamoo Ikifika usiku mateso Nahesabu mabati Usingizi ndo sipati Najiona sina bahati Kinyago cha mpapule Nimechonga mwenyewe chanitisha Nilipotoka nae mbali amesahau Ananiliza Aaii pole pole Pole moyo wangu kwa majanga aaaah Pole moyo wangu kwa visanga Siwezi jisemea maumivu Pole moyo wangu kwa majanga aah Pole moyo wangu kwa visanga Kuna muda namfungua status usiku wa manane Kisa namwangalia nikijipa moyo huenda akanipigia Lakini waapi naambulia makapi Mwenzenu naona kizungumkuti Mapenzi kizungumkuti Mapenzi shkamoo,kizungumkuti Mapenzi kizungumkuti Mwenzenu nimekoma, kizungumkuti Mapenzi kizungumkuti Cha mtema kuni nimekiona, kizungumkuti Mapenzi kizungumkuti Mapenzi shkamoo, shkamoo (The mix killer)