Kishore Kumar Hits

Barnaba - Tamba (feat. Kusah) текст песни

Исполнитель: Barnaba

альбом: Love Sounds Different


Nikupe nini wa ubani (tamba)
Nakuona mpya si wa zamani (tamba)
Au nikubandike bangoni(tamba)
Au nitangazege hadharani(tamba)
Hizo si mashida zetu baby(tamba)
Wachnikupea wayauze magazeti baby(tamba)
Nipende nipetipeti baby(tamba tamba)
Waseme wakichoka watalalaaa aah
Ooh baby
Penzi upepo wa bahari
Penzi letu linapepea
Na na na na naa
Wambea wakae mbali
Hiki kimbunga watapotea
Ukweli ni kwamba
Mapenzi unayonipa nahisi dunia yangu
Utadhani umenchanja
Ninavyomwaika sio akili zangu
Ooh ooh
Akili ya mapenziii
Nikaunda tenzi tena
Nimekuwa mjinga kwenye penzi lako sijiwezi
Mmh mmh mmh
Upofu wa mapenzii
Kwengine sioni tena
Najifunga kauli kwenye penzi lako sijiwezi
Ooh ooh
Nikupe nini wa ubani (tamba)
Nakuona mpya si wazamani (tamba)
Au nikubandike bangoni (tamba)
Au nitangazege hadharani (tamba)
Hizo si mashida zetu baby(tamba)
Wacha wayauze magazeti baby(tamba)
Nipende nipetipeti baby(tamba)
Waseme wakichoka watalalaaa (mmm)
Yeh
Penzi letu njia panda(yeah yeah)
Hawatuwezi propaganda(oh yeah)
Acha tuvune tulipanda
Mmh darling
Nawahi nyumbani kukesha nawe
Ukiwaga mbali ndo pressure my way
Kama ni mzizi shina ndo we (eh)
Watuachee
Ongeza madoido baby
Sasa ndumba za nn
Ushaniroga chumbani
Waja wana maneno
Acha watwange maneno(sikwachii)
Nimenasa zizini
Buchani kelele za nini
Waja wana maneno
Acha watwange maneno (sikwachii)
Aaah aah
Ooh oooh
Nikupe nini waubani(tamba)
Nakuona mpya si wazamani (tamba)
Au nikubandike bangoni (tamba)
Au nitangazege hadharani (tamba)
Hizo si mashida zetu baby(tamba)
Wacha wayauze magazeti baby(tamba)
Nipende nipetipeti baby(tamba)
Waseme wakichoka watalalaaa

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Nandy

Исполнитель