Kishore Kumar Hits

Barnaba - Hadithi (feat. Diamond Platnumz) текст песни

Исполнитель: Barnaba

альбом: Love Sounds Different


Aaah
(Ayo Lizer)
Ooh mtume roho yangu
Inashindwa kuvumilia,
Si kwa mahaba anayonipa
Yazidi mpaka namwagikiwa
Ananipa vinonoo
Mpaka naisi changanyikiwa
Hongera wake somo
Mtoto kafundwa katimilia
Wali kwa maini maji abdala sini
Na nkirudi nyumbani
Ananiuliza nianze chakula ama mwili
Hapo ndo anapo nivurugaga,
Kichwa kina niumaga
Ndo maana ninawaitaga
Mnipe ushauri!
Ah! Ah! Hadithi hadithi,
Utamu kolea
Mwenzenu mimi,
Utamu kolea
Mchumba wangu,
Utamu kolea
Ah ah sisemi,
Utamu kolea
Hadithi hadithi,
Utamu kolea
Mwenzenu mimi,
Utamu kolea
Mchumba wangu,
Utamu kolea
Basi usisemi
Kanionyesha jua la asubuhi
Linavyo penya kwa dirisha
Na mizungu ambayo sijui
Amenifundisha
Shombo la maa'rani
Amenisafisha
Kama hoi sijitambui
Navyo jibebishaaa
Hmm kanitunza mahaba
Tamu kutaradad,
Ebelebe
Kibaba baba michezo ya makidakida,
Ready ready
Tunawakera waja
Mbona mtapata shida
Niwape siri labda
Puto limepata mwiba
Ahh ah enh!
Nilonge ni silonge,
Longa
Mwenzu me
Longa
My baby wangu
Longa
Na mloveee
Hadithi hadithi,
Utamu kolea
Mwenzenu mimi,
Utamu kolea
Mchumba wangu,
Utamu kolea
Basi usisemi,
Utamu kolea
Ah! Ah! Hadithi hadithi,
Utamu kolea
Mwenzenu mimi,
Utamu kolea
Mchumba wangu,
Utamu kolea
Aku sisemi

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Nandy

Исполнитель