Kishore Kumar Hits

Stara Thomas - Nashindwa текст песни

Исполнитель: Stara Thomas

альбом: Nini Sina


Nashidwa hata kudanganya
Moyoni nilivyo kupokea, eh
Faraja ulivyo itimiza
Hakuna atakayeweza fikia, eh
Hakika umeyakamilisha
Yale yote niliyo yatafuta, eh
Na moyoni nimekukubalia
Kwa lolote utakalojisikia, eh
Kumbuka, yale walosema
Natuone sasa, kama mwisho utafika
Kumbuka yale walo sema
Natuone sasa, kama mwisho utafika
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama
Pokea, ninayo kueleza
Moyoni, yote uyafikishe, eh
Tabasamu, unalo nipatia
Hilo ndilo, linalo nifikisha, eh
Wabaya, usiwasikilize
Wanalengo, la kutusambaratisha, eh
Na mapenzi, hayana muamana
Rekebisha, unapo fikiria, eh
Kumbuka, Yale walo sema
Natuone sasa kama mwisho utafika
Kumbuka, Yale walo sema
Natuone sasa kama mwisho utafika
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama
Ah yeah, Mimi na wewe
Tupendane mpaka siku ya mwisho
Hadi watu washangae, maama

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Fid Q

Исполнитель

TID

Исполнитель