Kishore Kumar Hits

Linex - Hewala текст песни

Исполнитель: Linex

альбом: Hewala


Kila nikiyatafakari mapenzi najiona kama nina hatia
Niko kifungoni na machoni haunioni
Kila nikiyatafakari mapenzi najiona kama nina hatia
Niko kifungoni na machoni haunioni
Labda niliumbwa niwe bachelor
Nisiwe na mpenzi mpaka kwa hela
Labda niliumbwa niwe bachelor
Nisiwe na mpenzi mpaka kwa hela
Aaah aah
Naweza kuigiza nakupenda
Nikakufanya kiini macho
Ukaamini nakupenda
Kwa mwingine siwezi kwenda
Naweza kuigiza ukarimu na upole
Mbele ya macho ya watu
Ukaamini nakupenda
Kwa mwingine siwezi kwenda
Nawo menya kalima mutima uhundi kumaso
Huwezi jua kilicho ndani ya mtu kwa macho
Unapuyanga puyanga (Mama eeeh)
Sema uko yanga au uko simba (ooooh)
Japo ningepata hata chembe ya uzito wa haradali moyoni mwako
Mimi ningesema
Hewala hewala hewalaaaa
Unapuyanga puyanga (Mama eeeh)
Sema uko yanga au uko simba (ooooh)
Japo ningepata hata chembe ya uzito wa haradali moyoni mwako
Mimi ningesema
Hewala hewala hewalaaaa
Mama eeeh
Motema na ngai
Mama eeeh
Maya baya zela ngaiiii
Nooo nooo nooo nooo oooh
Jasiri haachi asili kweli uliteka akili yangu
Matusi yako ya nguoni thamani yangu huoni
Mpenzi kumbuka mutu muoga
Kusimulia matukio ya mutu
(Jasiri) mala kofunda yangu ya mamaaa
(Jasiri) oyo salikala kokiko kosa la kii
(Jasiri) nakokoma chepa ya papa
(Jasiri) baye boi wazala ki wangai
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga

Unapuyanga puyanga (Mama eeeh)
Sema uko yanga au uko simba (ooooh)
Japo ningepata hata chembe ya uzito wa haradali moyoni mwako
Mimi ningesema
Hewala hewala hewalaaaa
Unapuyanga puyanga (Mama eeeh)
Sema uko yanga au uko simba (ooooh)
Japo ningepata hata chembe ya uzito wa haradali moyoni mwako
Mimi ningesema
Hewala hewala hewalaaaa
Ningesema Hewala hewalaaa
Ningesema Hewala hewalaaa
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga
Unapuyanga puyanga

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Chege

Исполнитель

Fid Q

Исполнитель