Napenda nipate lau nafasiiii Nipate kusemaa nawe kidogo Aaaaaaaaah Mamaaa... aaah Rohoni naumiaaah Hakika la kufanya bado sijalionaaah Nimeona leo bora nikuiteeeeh Uwenda punde rohoo yakoo ikadunda Ikaja siku ukajanipooza moyoooo Mamaaaah Rohoni naumiaaah (Mhhhh) Katika kuja kwako wewe wangu mpenziiii Ni kama mganga utayenitibuuu Katika Maradhi yanayonisibuuu Hakuna mwingine ila ni wewe mpenzi uje hima mwenzio naumiaaah Hakika la kufanya bado sijalionaaah Nimeona leo bora nikuiteeeh Uwenda punde roho yako ikadundaaah Ikaja siku ukajanipoza moyooo mamaaah Rohoni naumiaaah Eeeeeeeehm Ooooooooh Oooh Napenda nipate lau nafasiiii Nipate kusema nawe kidogooo Aaaah mamaaaah Rohoni naumiaaah (Eeeeeeeh) Rohoni naumiaaah (Ouoooooh) Rohoni naumiaaah (Eeeeeeh) Naumiaaah (Ouoooooh) Rohoni naumiaaah Naumiaaah