Aah aah ah Uuh baby nifuraha mi nawe twaendana Uuh baby nifuraha tuishi wote daima Uuh baby ni furaha mi nawe twaendana Uuh baby nifuraha nakushaka nanee eeh Eeh nanee eeeh eeh Aah siku nyingi nimetafuta, nikaimba nikikupata Niliamini siku moja, nitakutana nawe Nami namshukuru Mola kwa kunipa binti mmoja Mwaminifu mwenye sifa, si mwingine niwe Nami namshukuru Mola kwa kuniletea mke mzuri mwenye sifa Nimezunguka kote hakuna kama we Uuh baby nifuraha mi nawe twaendana Uuh baby nifuraha tuishi wote daima Uuh baby ni furaha mi nawe twaendana Uuh baby nifuraha nakushaka nanee eeh Eeh nanee eeeh eeh Walimwengu kazi yao kuvuruga ya wenzao Watataka kututenganisha usiwajali We ndo wa maisha Leo namshukuru Mola kwa kunipa binti mmoja (mmoja) Mwaminifu tena mwenye sifa simwingine niwe Leo namshukuru Mola kwa kuniletea mke mzuri Mwenye sifa nimezunguka kote hakuna kama wewe Uuh baby nifuraha mi nawe twaendana Uuh baby nifuraha tuishi wote daima Uuh baby ni furaha mi nawe twaendana Uuh baby nifuraha nakushaka nanee eeh Eeh nanee eeeh eeh (nane eh) Ee eh nanee eeeh eeh (A ah aah, a ah aah), aah ah ah (Oh oh ooh) uuh yeh yeh yeh yeh ♪ Mmh uuh baby, baby Nakushaka nane eeh