Eh mpenzi we, usiwe na mashaka Ingawa mashida kesho tutajaliwa Nikiwa kwa raha, tufurahi pamoja Na ninapolia we wanipa faraja Ntala nawe, ntala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada Ntala nawe, ntala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Ona nyota zetu zinavyo meta meta Na ukitabasamu unapendeza sana Nikiwa kwa giza umekuwa mwangaza Tuliyopitia umenivumilia, aah Ntala nawe, ntala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada Ntala nawe, ntala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Oh uh oh ooh Ntala nawe, ntala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada Ntala nawe, ntala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Mmh Ntala nawe, ntala nawe Kwenye shida ama kwenye furaha dada Ntala nawe, ntala nawe Kwenye jua ama kwenye mvua Kwenye jua ama kwenye mvua