Ben pol; Mhh yeah Uko na macho ya swaga Kama Angela, Kukuona umeni murder mpaka jela , Si kawaida yangu kupanga tela, Ila Hamna no Sina namna basi; What a name, wacha nionekane boya ukinimwaga nitabeba Aibu; usione mi ni papara Sijaelewa nimefikaje Ukuuu! "Girl you look so fine" huuuh; "You got me crazy and that is so fine" Ningependa tujuane (Sio mbaya) huuuh (Sio mbaya) Mimi na wewe (Sio mbaya) Ningependa tujuane (Sio mbaya) huuuh (Sio mbaya) Mimi na wewe (Sio mbaya) " You look so fine " (Sio mbaya) Music The mafik; Usije kuniona mi muhuni kukuambia hisia Zangu ukadhani anakurubuni ehh yeah eeh Ni vile hatujawa hata majirani nikajichanganya, Ukadhani ni walewale (wale) Uko so smart ume dress Poa so different (Kwa sababu na kufwata) Maybe we can chat tukitoka hapa labda twende Zanzibar "You got me crazy" Ningependa tujuane (Sio mbaya) huuuh (Sio mbaya) Mimi na wewe (Sio mbaya) Ningependa tujuane (Sio mbaya) huuuh (Sio mbaya) Mimi na wewe (Sio mbaya) " You look so fine " (Sio mbaya) Music I love you, I love you End