Hadithi ya penzi langu umenikata nini mwisho Huthamini huoni pendo lako nalihitaji leo kesho Nishawahi kukosa, mwenzenu nilisumbuka Mchana na usiku mimi, nishawahi kukosa Nasema niliteseka mchana na usiku mimi Nishawahi kukosa, mwenzenu nilisumbuka Mchana na usiku mimi, sitaki tena kosa Najua nitateseka Mwisho sitokuwa nawe tena naulizaa Kama pete yangu, inakuchomaa kidoleni Ni kama pendo langu, linakuchoma moyonii, Bora kuitoa aaah aah, Pendo kulivua aaah, Bora kuitoa, Moyoni mwangu mi nisiteseke Bora kuitoa aaah aa, Pendo kulivua aaah, Bora kuitoa, Moyoni mwangu mi nisiteseke Sikujali wambea wanafki walosema Hatutadumu mimi nawe tutajaachana Wakiniona siko nawe si ndo watasema Hata nyumbani watajua tumefarakana Nikiwaza kwenda mbali, moyoni nahofia Maana bado nakujali, kwako nilishatua Nikiwaza kwenda mbali, moyoni nahofia Maana bado nakujali, kwako nilishatua Kila jema n'tendalo mie, kwako limekuwa sio Nitakapo kujua ulipo, wanijibu utakavyo Pete kidoleni mwako, yanisuta mwenzio Ndo maana nikukosapo, moyo wanienda mbio Repeat til