(Nahreel) olele, olele (The industry) Olele, olele Nusu saa ya mshale, nusu suruale Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale Olele, olele Nusu saa ya mshale (olele) Nusu Bob Marley (olele) Niruhusu nisimame (olele) Nikuruhusu ulale (olele) Agizia kina Ritha Margarita Usijifanye kama hujui kilichotuleta Mawaidha kwenye Paris, hapana kuleta Ila kama una maombi, leta later Njaa tulisha ikimbiza ma kilometer Logo ni nyeusi na inametameta Wakati wanajiuliza kupata punchline Ninafululiza kufanya hit songs Huku nikidunduliza so my money long Na bado sijamaliza, so the party is on Michongo inawakimbiza, usione wako hoi Usongo umenipitiliza, sherehe zikianzia Arusha kuelekea Ibiza (weh) Vunja nazi, navunja maviza, nachana maanga, napasua giza (weh) Mi ni nuru sio wale ni kiza, Makini na Jesus so bump the cheese up, wewe (wewe) Bump the cheese up (olele) Nusu saa ya mshale, nusu suruale Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulale Olele, olele Nusu saa ya mshale (olele) Nusu Bob Marley (olele) Niruhusu nisimame (olele) Nikuruhusu ulale (olele) Brand kubwa sio kitoto, na show ni cash sio mikopo Najenga inchi sitoi boko, serikali mbwa koko Tokea uswazi siachi ukoko (olele) Tokea mageto huu ndo mtoko, matendo sina ropo ropo You know we do this for the people, siwapi kichupa wape kopo X whatever mabinti hamsha popo DJ, nasikia rushwa inakarabati kila sector Chalii ya Arusha, narusha tu kila bakta Na mambo ya maana tukumbuke tukila bata Na ka ni mambo ya kimsingi mi nili enter Na ka ni mambo ya kipimbi mnaleta Mtoto mkali mkibetua nambenta Na kesho morning ndo mtagundua ilikuwa penta Makoromeo yanaita ni kiu, na kauli mbiu leo ni kutii (olele) Bendera hewani, simamisha mlingoti (olele) Watu mtu kati ukutii, hunikuti sikutii, nakutia adabu (tia adabu) Nusu saa ya mshale, nusu suruale Nusu kwenye glasi, nusu Bob Marley Ni ruhusu ni simame, ni kuruhusu ulale Olele, olele Nusu saa ya mshale (olele) Nusu Bob Marley (olele) Niruhusu nisimame (olele) Nikuruhusu ulale (olele) ♪ Nusu saa ya mshale (olele) Nusu Bob Marley (olele) Niruhusu nisimame (olele) Nikuruhusu ulale (olele) Nusu saa ya mshale (olele) Nusu Bob Marley (olele) Niruhusu nisimame (olele) Nikuruhusu ulale (olele)