Kishore Kumar Hits

Christian Bella - Waone Gere текст песни

Исполнитель: Christian Bella

альбом: Waone Gere


WAONE GERE
CBO
Queen of the best melodies
Ooh
King of the best melody, Christian Bella Obama
International
Unarangi originali
Jah kakujalia nyuma rojo-rojo futari
Macho ya kusinzia
Kwenye mechi hodari, chenga Di María
Unapenda mende chali, utovu tovu wa bamia mamaa
We ndo dakitari unaenitibu ipasavyo
Mapaka napona
Unanifikisha safari yani niendapo
Hunipindishi kona kona
Na napendaga ukiinuka
Ukichuchumaa, kana amka
Kale kajama unakishusha kakichachamaa
We mtoto wee, mshedede
Acha nikupe sifa, mshedede
Umeumbika, mshedede
We mtoto wewe, mshedede mshedede
Usije nipeleka poulter, mshedede
Penzi ukaliangusha, mshedede
We mtoto wewe, mshedede
Unapo upanda mnazi usiwe napupaa
Taratibu taratibu, usije ukaanguka
Sema unataka andazi au sambusa
Nitimize uwajibu kabla ujasusa eeeh
Uniridhishie wewe
Wewe ndo mboni yangu
Unaenipa kiwewe hadi katika maini
Hatozuka mwenginewe aliye awali moyoni
Hadi mi'nitakufa nawe
Ukitaka nikupe nakupa mwenyewe, nipe nikupeee
Ukitaka nikupe nakupa baba, nipe nikupeee
Nilipotoka nimaumivu nataka raha za dunia
Kilema changu kupenda nimpendae ni wewe
Wewe ndo pipa na mi' mfundi koo, nipe nikupee
Kugombana na wewe kwangu mwiko, nipe nikupee
Chérie na nga bebe na nga
We mtoto wee, mshedede
Acha nikupe sifa, mshedede
Umeumbika, mshedede
We mtoto wewe, mshedede mshedede
Usije nipeleka poulter, mshedede
Penzi ukaliangusha, mshedede
We mtoto wewe, mshedede
Haloooo
Ukitafuta yasio kuhusu utayapata yaso kuridhi maa!
Utasutwa uone haya
Kamix Lizer

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Nandy

Исполнитель