Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye The way that you move unanitesa vibaya Kizunguzungu ndege umenikata bawa Nachoka kabisaah kwa unavyovifanya wow wow ooh Chochote usemacho mwenzako me sawa (me sawaah) Kitugani wewe nikupeeh mudawote unikumbukeeeh Siokesho unitupeeh kwa haibu nijifiiche Uwo uzuli wako baby wewe fire Ukiniachanitadata nitakuwa vibaya huh huh! Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye Wamepita wengi sikatai Mama umenikoleza unavyonipa sikinai yeh! yeh! Nilipo upo nafurahi wewe ndiyo unanipendeza Wengine wote hawanifai yeyeh Me nadhani Kifo ndiyo kitatutenganisha nawe Usiniadhibu mama taratibu mama yeh yeh Uwo uzuli wako baby wewe fire Ukiniachanitadata nitakuwa vibaya aah aah Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye Yeyeyeyeye yeyeyeye yeyeyeye