Kishore Kumar Hits

Diamond Platnumz - Nawaza текст песни

Исполнитель: Diamond Platnumz

альбом: First Of All


Nawa nawa
Nawa nawaza tu
Nawa nawa
Nawa nawaza tu
Nawaza pru mpaka makha ruge amerudi tena
Je kwa huu mziki wa sasa sjui nini angesema
Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema
Yani mtoto unaemtunza ndio anakuombea ukilema, nashangaa
Nawaza vanny na Elizabeth, clip zao zikivuja
Ndoa itaimarika eti, au ndio ataivunja
Nawaza muchana, usiku jibu halifiki
Wanaonitukana tunabeef au ilimradi kiki
Nawaza hawa kina kimambi bwana
Wangekuwa wagawa ridhiki
Hivi kweli ningejulikana
Si wangenizima sisikiki
Nilowaza leo nishawaza sana,
Mi na Kiba ugomvi kipi
Nikagundua ni ushamba na ujana
Wakugombania mashabiki
Nawa nawa
Nawa nawaza tu
Nawa nawa
Nawa nawaza tu
Ooh nawaza
Huenda steven kanumba angelikuepo hai
Nawaza movie zetu pia tungejidai
Nawaza hivi kombe la dunia hatufikagi why?
Nawaza tatizo ni team au uongozi haufai
Mawazo mengine mtanange bora tuache
Yataleta ukakasi
Je angekuepo mzee nyange
Uncle shamte angepata nafasi
Nawaza ka ningekua na wema sepetu hadi leo
Sjui ningekua nishafulia ama zaidi maendeleo
Ooh nawaza siku nikifa sjui wasafi itakufa
Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta
Nawaza ooh, mama dangote nani chozi atamfuta
Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka
Nilowaza leo nishawaza sana
Ninachoshindwa kuoa kipi
Nikagundua naepusha lawama
Maana najijua kwa kucheat
Nawa nawa
Nawa nawaza tu
Nawa nawa
Nawa nawaza tu

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Meddy

Исполнитель

Nandy

Исполнитель

Jux

Исполнитель

Zuchu

Исполнитель