Uhuru uhuru we Uhuru weee Uhuru uhuru we eh eh eh Fungua macho tazama Ishi maisha yako na kuwa free Mfano me Uhuru uhuru we Uhuru weee Uhuru uhuru we eh eh eh Anzisha mziki sasa Eh bwana bhana inakuaje Sio mbaya Africa ya mashariki Sio mbaya Salamu za mashabiki Sio mbaya Ah aaaaah! Narusha feeling zangu high kama kipepeo Nataka kuhave fun sio mbaya leo Leo ndio leo kama mchezo wa video Usikubali ukapitwa na hili toleo Mana nakunywa nalewa Naimba nacheza Na icho ulichopewa Mungu atakuongeaza Maisha ni juu na chini Kuishi ni kujiamini Wakikwambia wataka kuwa nani Wambie mimi Waweza kuwa queen Waweza kuwa king Waweza kuwa juu angani ukiamini Anayejali hisia zako anakuthamini Anayekupa nafasi anakuamini Maisha ya mjini Kula ipo akilini Binadamu hawafai kaishi porini Eh bwana bhana inakuaje Sio mbaya Mipango imekaaje Sio mbaya Kujiburudisha na muziki Sio mbaya Na kisha tunaridhika Sio mbaya Hata sisi tunashida Sio mbaya Changamoto za maisha Sio mbaya Kunawatu watakupinga Sio mbaya Kwenye faida kuwa mjinga pia Sio mbaya Napiga simu mama class Sema sio mbaya Umeme umekata sijapasi Sio mbaya Naingia kwenye mitikasi Sio mbaya Hata wazee wa kazi Hawako vibaya Pata unashukuru Piga makoti Mwenzetu akitoboa Tunasema hard work Ukikutana na mtoto mzuri Sema nice shot Na ukipenda anavo move Piga makofi Mwindaji haogopi Mtafutaji hachoki Unaweza ukafungwa wewe Young Killa msodoki Maisha kichwa box Drinks moja moja na washikaji kuna shots Nani alikwambia masikini hachoki Eh bwana bhana inakuaje Sio mbaya Mipango imekaaje Sio mbaya Kujiburudisha na muziki Sio mbaya Na kisha tunaridhika Sio mbaya Hata sisi tunashida Sio mbaya Changamoto za maisha Sio mbaya Kunawatu watakupinga Sio mbaya Kwenye faida kuwa mjinga pia Sio mbaya Anayeitika unapomwita Rafiki wa kweli Anayekufaa kwenye shida Rafiki wa kweli Anayemulika kwenye giza Rafiki wa kweli Tunamapungufu yetu Bado hatujafeli Leo tupo wote down tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Ups tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Down Tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Ups tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Tuna celebrate Yooh! Sometimes inabidi tu Uishi maisha yako The class aaah.