Classic Music Aah!! Kama unataka kiki kwa piki piki Mara black mara white vipi? Kama unatikisa kiberiti I play no game am sory rafiki Ukija kama upepo uta pepea Ukijifanya una mapepo tuna kemea Kama unataka mchezo kawashe runinga Sikuizi hakuna mta anataka ujinga Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi Meli inaelea feli inazama shilingi Haraka na harakati za ko za pimbi Unataka kucheza wewe na ushike firimbi Binadabu angekua nature, maneno yange shutigi kama risasi Vituvingine vingienda, ivirudigi rivasi kama samaki Hasara roho inacho penda, tunasemaga pesa makaratasi Hakuna wasiwasi, tukaze mwendo ili twende na wakati eh Dunia iweke tuzo za wachukiaji Bongo kunawatu wana vipaji Narusha madongo kwenye maji Bora upige michongo utanipa midadi Mara chenga mara no network Zigi zaga vitu avieleweki Life sikuizi imezidi kua complicate Ukichanganya na mambo ya internet Jelaaas... kesho utatukana picha ukutani Relax... siatutafuti mchawi nani Sasa chagua utajifungia chumbani Au unatoka goma lipo uwanjani Kushoto kulia juu chini kamatia Mzigo wa abiria dereva na gia Kichwa cha panzi alewe sifa kama bia Si tupo serious wee unatuektia Eeeeh!!! Binadabu angekua nature, maneno yange shutigi kama risasi Vituvingine vingienda, ivirudigi rivasi kama samaki Hasara roho inacho penda, tunasemaga pesa makaratasi Hakuna wasiwasi, tukaze mwendo ili twende na wakati eh Utasema nakudiss Ila mimwenyewe unanimix Mengine ni Madaranzi na sura ya machungwa Utajua viip Kujiswichi swichi Mtu kiatu mtu fifti fifti Uji haufai hutaki chai Moja haikai mbili haifai wee wapi unafitii Eeeeeh!!