Yumba eeh Yumba ie Darassa and KondeBoy (255 Champion boy, Classic) Yumba, Yumba Aga nikiwind my beiby Jipinde pinde kama a nyoka Pinda mugongo nibebe Nisije nikadondoka (O nah nah nah nah) Njiani napitapita samahani sister Macho kama unaniita imekolea shisha Mwaga mapichapicha yasambae inster Yani kesho kukicha Jana kama vita Suruali pale viatu kule Usilale lale kaa mkao tule Njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule Njoo nikutunze baby Huwezi kufanya kazi ya bure Ukiwa na King agiza tu utaletewa Ukiwa Queen kwenye joto utapepewa Jiongeze jiongeze nishanogewa Napenda Kuyumba yumba nishalewa Nasema baby apo kati Baby apo kati Ata mabubu wanatoaga sauti Baby apo kati Baby apo kati Hata jambazi sugu linapigaga saluti I say Stop! Twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba) Akiwa karibu Unamkumbatia(Yumba Yumba) Eeeh twende taratibu kama unasinzia(Yumba Yumba) And I say(Yumba) Aliyekaribu unakamatia(Yumba Yumba) And I Say(Yumba) Oooh nah nah nah nah Funga funga mishikaki Funga no paki Rhumba takitaki Dole gumba hapi Yumba juu, nyumba chini Yumba katikati Yumba yumba mwili kama umelegea nati Samahani namba Unayopiga haipatikani Kama umepoteza uliza Google watakupa ramani Kama una chuki ota mbawa upae angani Au pasua ardhi uingie ukae ndani Bado nawagongea gongo Nakomalia mchongo Nawashushia vigongo Umevalia usongo, wa mangoma msondo Eeeh eeh uongo Anajua Mungu mwenye mbingu ardhi na udongo Mzee kasema Sesema Gosha mperampera Nambeba Sanchoka Na nyuma Kashafunga tela I say Stop! baby apo kati baby apo kati Hata mabubu wanatoaga saut Baby hapo kati baby hapo kati Hata jambaz sugu linapigaga salut stop Twende taratibu kama unasinzia yumba Ukiwa karibu unakumbatia Twende taratibu kama unasinzia yumba A And I say (Yumba) vile karibu unakamatia you hold And I say (Yumba) Oooh nah nah nah nah Oooh amechanganya Cush na nyagi kalewa wamembeba (Anatokaje?) Alijifanya mjuaji kumbe mimba haitok leba Itakuaje Giza Giza mama totoro Nishaagizagiza chumba godoro Nitalizaliza mpaka tomorrow ASA twende taratibu kama unasinzia