Kishore Kumar Hits

Darassa - Sogea (feat. Sani Boy) текст песни

Исполнитель: Darassa

альбом: Sogea (feat. Sani Boy)


Classic Music
Sound by Abbah...
Eeh nikupe mgongo upande
Ujigambegambe ndiyo ni gande gande
N'na mapenzi kabambe Monday to Sunday ujiramberambe
N'nafight niku'eke ndani wacha niwambewambe kajichangechange
Na wakileta wapambe wasikuzongezonge wakatie mapande
Mwenzako nakupenda nakununu
Sogea nikupambe sogea nikubusu
Nakupenda nakununu Sogea nikupambe sogea nikubusu
Kama mtu anakimbia ndani tih tih
That sound of my heart
Sina A wala B C D gari n'shaiweka park
Natumia bodaboda yangu siti moja staki haipakii mishikak
Sina root za wapi temeke ilala mbezi alafu ilale masaki
Kwanza mwachie nafasi ajiachie mwagie mass
Sijui hata nianzie wapi kwa juu kwa chini ok nitaanzia kati
Avae kishati cha pasi apanie kiasi au avunje kabati
Na mkia wa samaki akitembea mwendo utasema hautaki
Aise uuu'pewe nini nakuambia mguu wa kukanyagia peponi mydear
Aisee uuu kama nan'pania na ninamia nambambia bambia
Nampinda namdandia dandia namlinda na washenzi wa tabia
Mpenzi wako umemshika mkononi watakuibia
Wangu nimemtulizaga moyoni katulia
Mwenzako nakupenda nakununu
Sogea nikupambe sogea nikubusu
Nakupenda nakununu Sogea nikupambe sogea nikubusu

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

K.O

2021 · сингл

Похожие исполнители

Meddy

Исполнитель

Nandy

Исполнитель