Kishore Kumar Hits

Janice Iche - Tamani текст песни

Исполнитель: Janice Iche

альбом: Tamani

Mmh aah
Nilitaka ujue (I wanted you to know)
Nimekutamani (I've been craving you)
Ningependa tu ujue (I'd just like you to know)
Nimekutamani (I've been craving you)
Ningependa nikwambie (I'd like to tell you)
Nilitaka tu kusema (I just wanted to say)
Nilitaka tu kusema (I just wanted to say)
Nimekutamani (I've been craving you)
Mapenzi yako (Your love)
Mapenzi yako (Your loving)
Natamani (I am craving)
Ningependa tu ujue (I'd just like you to know)
Mapenzi yako (Your love)
Natamani (I am craving)
Mapenzi yako (Your love)
Mapenzi yako (Your loving)
Nilitaka kukuambia tu (I just wanted to tell you)
Sijui utafanyaje (I don't know what you'll do)
Nataka unishike (I want you to touch me)
Nipeleke kule (Take me there)
Mmh n'navyohisi (Mmh the way I'm feeling)
Niamini (Believe me)
Nipe nafasi nikuonjeshe (Give me a chance to give you a taste)
Mapenzi yako (Your love)
Mapenzi yako (Your loving)
Nilitaka ujue (I wanted you to know)
Ningependa tu ujue (I'd just like you to know)
Nimekutamani (I've been craving you)
Nilitaka tu kusema (I just wanted to say)
Nilitaka tu kusema (I just wanted to say)
Nimekutamani (I've been craving you)
Yaani nataka tu kusema (I mean, I just want to say)
Nathamini kila unachonipa (I appreciate all that you give me)
Nakuthamini (I appreciate you)
Upendo wako wa kipekee (Your unique love)
Nataka tuwe kwa mapenzi (I want us to be in love)
Sina shaka tukienda pamoja tutafanikiwa (I have no doubt we will prosper if we go together)
Mpenzi, natamani (My love, I am craving)

Mmh

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Far

2021 · сингл

Похожие исполнители

NKC

Исполнитель

Flier

Исполнитель