Kishore Kumar Hits

Cheed - Wandia текст песни

Исполнитель: Cheed

альбом: Wandia


Wandia eh, wandia oh
Nina dukuduku rohoni
Wandia eh, wandia oh
Nisikilize makini
Namiliki bodaboda
Penye nia pana njia boo
Vidogo vimboga mboga
Najua unaumia vumilia tu
Vishilingi shilingi vipanie eh
Come on
Kopa kwa mangi viunga roho tule
Come on
Penzi nipe mkopo
Yamkini sitoiboko
Nitalilinda nitakesha popo
Tuuze bamia huku tukiliwaza soko
Usijeshindwa vumilia mwendo wa pole Pole polee
Nipe imani kesho tuzitimize ndoto Polee
Hali yetu vumilia ndo changamoto Pole polee
Iwe juani kivuli, baridi na joto polee
Baby pole pole
Tunajidunduliza
Maisha yetu duni oh duni
Na ninakusisitiza
Uweke kibubuni (bubuni)
Hata kwa debe la karanga
Ni muhimu kujipanga
Zawadi vitenge vikanga
Penzi letu kulijenga aah
Milima mabonde twapita
Chonde usije zima taa
Tone na tone ndo hujaza litre
(Ndovilee)
Kwa penzi letu roho zawapwita
Mama mapenzi vita
Analopanga Mungu lapita
(Ndovilee)
Wangu my boo, my love
Twende kidogodogo my love
Kidogo my love
Twende kidogodogo my love
Penzi nipe mkopo
Yamkini sitoi boko
Nitalilinda nitakesha popo
Tuuze bamia huku tukiliwaza soko
Usijeshindwa vumilia mwendo wa pole Pole polee
Nipe imani kesho tuzitimize ndoto Polee
Hali yetu vumilia ndo changamoto Pole polee
Iwe juani kivuli, baridi na joto Polee
Baby polee poleeeh
Ouooh oyeeh

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Phina

Исполнитель

K2ga

Исполнитель

Dayoo

Исполнитель

Yammi

Исполнитель

killy

Исполнитель