Kishore Kumar Hits

Omary Kopa - Nadekezwa текст песни

Исполнитель: Omary Kopa

альбом: My Kopa


Ahhh wengi wanaa
Ulizanaa
Kwanini?
Nadekezwa
Nadekezwa
Nadekezwa
Nadekezwaaa
Nadekezwaaa
Nadekezwaaa
Wengi wanaa
Ulizanaa
Kwanini?
Nadekezwa
Nadekezwa
Nadekezwa
Nadekezwaaa
Nadekezwaaa
Nadekezwaaa
Sababu ka
Nipenda sana
Nyonda nina
Mliwaza mliwaza
Namliwazaaa
Sababu ka
Nipenda sana
Nyonda nina
Mliwaza mliwaza
Namliwazaaa
Aniii III
Anijuaaa
Siriyaaanaa
Mapenzi
Kwa mapenzi nayaweza
Aniii
Anijuaaa
Siriyaaanaa
Mapenzi mapenzii
Kwa mapenzi nayaweza
Ahhha ya nini tena
Fitina hebu nyamaa
Zeni kwanzaa
Ya nini tena
Fitina hebu nyamaa
Hebu nyamaa zeni kwanza

Yaa layli yaaaaaaaaaa
Leyii
Yaa layli yaaa aaaaaaaa
Leyii
Yaa layli yaaa aaaa
Leyii eeiihieeihhhh
Ya leyiii

Habibii yaleyii
Mahibibaa yaleyii
Yaleyii yaleiii
Yaleyiiiiiiii
Laini yaaa
Yaa salamm

Na kwanini
Nisidekee
Yupo wa kunidekezaa
Na kwanini
Nisidekee
Yupo wa kunidekezaa
Na kwanini
Nisidekee
Yupo wa kunidekezaa
Na kwanini
Nisidekee
Yupo wa kunidekezaa
Mapenzi na raha zake
Kwangu mimi miujiza
Mapenzi na raha zake
Kwangu mimi miujizaa
Nitakacho juu yake
Juu yake
Imaana kitimizaa
Nitakacho juu yake
Juu yake saa yoyote
Imaana kitimiza kitimiza
Nitakacho juu yake
Juu yake
Imaana kitimizaa
Nitakacho juu yake
Juu yake saa yoyote
Imaana kitimiza kitimiza
Wachenii upeke peke
Hatutaki kuchokozwa
Wachenii upeke peke
Hatutaki kuchokozwaaa
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nadekea mpenzi wangu
Ukitaka usitake
Yeye atabaki wanguu
Ukitaka usitake
Yeye atabaki wanguu

Pengine twa
Twabia yangu
Ndicho kilo mpendeza
Penginee
Matunzo yangu
Ndicho kilompendeza
Pengine ni
Heshima yangu
Ndicho kilompendeza
Pengine ni hadhi yangu
Ndicho kilompendeza
Amejikaa
Bizi kwangu
Apete kuu
Niliwazaa
Amejikaa aahh
Bizi kwangu
Apete kuu
Niliwazaa
Analileaa
Pendo langu
Pendo langu
Nami nimejituliza
Analileaa
Pendo langu
Pendi letu
Nami nimejituliza
Analileaa
Pendo langu
Pendo langu
Nami nimejituliza
Analileaa
Pendo langu
Pendi langu
Nami nimejituliza
Bakieni na uchungu
Mwezenu na bembelezwa
Bakieni na uchungu
Mwezenu na bembelezwaa
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nadekea mpenzi wangu
Ukitaka usitake
Yeye atabaki wanguu
Ukitaka usitake
Yeye atabaki wanguu

Yeye ndio yangu
Yangu jeuri
Msiojua nina waeleza
Yeye ndio wangu
Wangu umuri
Wasiojua nina waeleza
Yeye ndio yangu
Yangu jeuri
Msiojua nina waeleza
Yeye ndio wangu
Wangu umri
Wasiojua nina waeleza
Kwake nina
Tafakharii
Anavoni
Toshelezaa
Kwake nina
Tafakharii
Anavoni
Toshelezaa
Tena ana
Nishauri nishauri
Jambo la kutekeleza
Tena ana
Nishauri nishauri
Jambo la kutekeleza
Tekeleza
Tena ana
Nishauri nishauri
Jambo la kutekeleza
Tena ana
Nishauri nishauri
Jambo la kutekeleza
Tekeleza
Pendo limeshashamiri
Wembea na washangazaa
Pendo limeshashamiri
Wembea na washangazaaaa
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nami nadekea changuu
Na kwanini nisidekee
Nadekea mpenzi wangu
Ukitaka usitake
Yeye atabaki wanguu
Ukitaka usitake
Yeye atabaki wanguu

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Nandy

Исполнитель

Jux

Исполнитель

Zuchu

Исполнитель

Yammi

Исполнитель