Kishore Kumar Hits

Ethan Muziki - Songa текст песни

Исполнитель: Ethan Muziki

альбом: Blink


Umekuja wewe ukanitibu
Maumivu hayakuwi karibu
Nimeumizwa mara siezi hesabu
Umenifanya tayari kujaribu
Roho yako ntailinda
Juu ni wewe wanituliza
Kawaida huwa ninaogopa
Lakini wewe wanituliza
Kwa maneno pia kwa vitendo
Tunasonga, tunasonga
Nazo mashida haziwezi tuzika
Tunasonga, tunasonga
Umekuja wewe ukanitibu
Malaika hawajanisahau
Nimefikiwa, penzi najiziwa
Ntafanya kila kitu utabasamu
Roho yako ntailinda
Juu ni wewe wanituliza
Kawaida huwa ninaogopa
Lakini wewe wanituliza
Kwa maneno pia kwa vitendo
Tunasonga, tunasonga
Nazo mashida haziwezi tuzika
Tunasonga, tunasonga

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Karun

Исполнитель