Kishore Kumar Hits

Marioo - Sina Baya текст песни

Исполнитель: Marioo

альбом: Sina Baya


Mmmh Baaaaad Shillilllili!!
Mnanipenda yes papa
Aaah yes papaa
Mnanikubali yes papaa
Eeh yes papaa
Si mnanipenda yes papaa
Aah yes papaa
Mnanikubal yes papaa
Eeeh yes papaa
Aaah
Sina noma na dangote
Sina noma na king kiba sina noma na kondeboy sina noma na vanny boy
Nikisema mmmmmmh mariooo
Mnasema Aaaaah huna baya sema Mmmmmmh marioo
Aaaaah huna bayaaa
Yani kamba juu ya kamba miwa kama fei toto
Kila kona me natamba mawe yote ya moto
Masela wangu Oooooooh tulewe leo
Oooooooh tulewe leo
Masela wangu Ooooh tukunywe le0oo
Oooooh tukunywe leo
Kwasababu sina noma na chibudenga
Sina noma na king kiba
Sina noma na konde booooooy sina noma na Chuiiiiiii
Aaah
Sina noma na dangote
Sina noma na king kiba sina noma na kondeboy sina noma na vanny boy
Nikisema mmmmmmh mariooo
Mnasema Aaaaah huna baya sema Mmmmmmh marioo
Aaaaah huna bayaaa

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Kusah

Исполнитель

Nandy

Исполнитель

Jux

Исполнитель

Zuchu

Исполнитель