Kishore Kumar Hits

Marioo - Mwagia Ndani текст песни

Исполнитель: Marioo

альбом: The Kid You Know (Deluxe Edition)


Mmmh bad ayeeee
Shiiiiiiii
Aah ah sheimbembe
Tumebarikiwaa tumejipata
Tumetoboa bila kodi tumejipata
Tumefanikiwa tumejipata
Tumeridhika na amaisha tumejipata
Sisi hapa watoto wa baba hatunaga mbambamba
Sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga kanganga
Sisi hapa watoto wa baba ahatuna mbambamba
Sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga ndandanda
Tuna muogopa mungu pekee
Tuna muogopa mungu pekee
Tuna muogopa mungu pekee
Sio wew sio yule sio kifo
Sio njaaa wala majukumu
Ndomana
Tunamwagia ndani, Mmmh
Mwagia ndanni, Mmmh
Tunamwagia ndani, Mmmh
Mwagia ndani, Mmmh
Tunamwagia ndani, Mmmmh
Mwagia ndani

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Kusah

Исполнитель

Nandy

Исполнитель

Jux

Исполнитель

Zuchu

Исполнитель