Kishore Kumar Hits

Marioo - Anisamehe текст песни

Исполнитель: Marioo

альбом: The Kid You Know (Deluxe Edition)


Mwenzake nimeteleza
Kunihukumu ananionea
Mwenzake nimeteleza
Ananikukumu ananionea
Aaah nmemzoea
Na siwezi kuishi bila yeye
Aaah ye ndo nampenda
Sijiwezi mama nakufa
Basi mwambie anisamehe
Mwenzake aah anisamehe
Mwambie anisamehe
Mwenzake aah anisamehe
Mmmh anisamehe
Aaah anisamehe
Mmmh anisamehe
Aaah anisamehe
Vanny Boooy
Sura nzuri atabasamu
Ukimuona hapendezi
Na makosa yetu wanadamu
Pekeang siwezi
Uuuyeee
Nalewa nakesha
Aniokoe kabla cjawa Malaya
Nalewa nakesha Mimi
Aniokoe kabla cjawa Malaya
Basi mwambie anisamehe
Mwenzake aah anisamehe
Mwambieni anisamehe
Mwenzake aah anisamehe
Mmmh anisamehe
Aaah anisamehe
Mmmh anisamehe
Aaah anisamehe
Nenda kamwambie babe
Ninataka Tena alichonipaga
Nenda kamwambie babe
Anikune Tena anaponikunaga
Chuuiii

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Kusah

Исполнитель

Nandy

Исполнитель

Jux

Исполнитель

Zuchu

Исполнитель