Uuuh uuh, yeah Yeaah Hehe its S2Kizzy zombie sio Oh nakuvizia tukeshe nasubiria tutete Nakuvisia tusepe napulizia mtete Watakususia mkweche nitakuzugia na pete Si unajua vile mi niko hoi hali tete Wapo walosema kwamba sipigi show I wish you know wasikushawishi doo Na habari zao zakua, sitishi hivyo Charge empty kila suka yani baterry low Aah leo una vibe tukrefresh place Mi mgonjwa we tabibu Njo unitibu one stress nice Nitakuwa mjinga niki mess mess Ulikua nami toka sina kitu Enzi napiga deshi deshi Mi sijaambiwa nikwambie Ila moyo utani-tetereka Ukiwa mbali na mie Upweke uta nitetemesha Furaha yako niachie Iii kwa mikono salama deka mmh Utakacho niambie oooh baby Tekma tekma deka Tekma tekma deka (Deka ukiwa na mimi tu) Tekma tekma deka Tekma tekma deka (Deka ukiwa na mimi tu) Aaah don't let them fool you (Fool you) Kisa umenipenda mimi huyu (Huyu) Mapenzi ya dhati na hisia ulikwa nayo toka kitambo Na mengi uka hadithia, tunawezaje ikawa mipango Since day one niko na plan kichwani Nimilki mjengo na bonge la wife kwa ndani Wife si utani wife waku vibe kanisani Sio yule wife wa Stamina aliesepa nyumbani Mapenzi ni yetu yetu Na sisi kiviyetu vyetu Yani kama Chuga Baridi yetu yetu Mi sijaambiwa nikwambie Ila moyo utani-tetereka Ukiwa mbali na mie Upweke uta nitetemesha Furaha yako niachie Iko mikono salama deka mmh Utakacho niambie oooh baby Tekma tekma deka Tekma tekma deka (Deka ukiwa na mimi tu) Tekma tekma deka Tekma tekma deka (Deka ukiwa na mimi tu) Oooh ooh Deka ukiwa na mimi tu Oooh ooh Deka ukiwa na mimi tu (The Mix Killer)