Mamako akinipenda niite baba wa kambo Wasani kwa uwanja na deal nao kirambo Uliza sauti sol wao ndio kufungua lebo Wakati wanasign mi nishadismiss kitambo Mziki sio kiki makali kama panga Mwisho wa maneno Rington nakuvisha kanga Pole Octopizzo walikusukumanga Mzungu ulipata ukashindwa kujipanga Sina urafiki wa mtoto peremende Leo mtajua siri ya kifo cha mende Mr. Omollo kwa gym ni matembe Daddy Owen ulitu Kwenye Beat umeokoka unahubiri Na ulifanya mimba iwe siri Mbona yangu ilikuwa hivyo nikaitoa kafiri Na bado mnauliza na mbona siko kwa injili Siongopi mkisema nishasikia tayari Maneno hainiwezi yananifanya ngangari Natema wala kwa kila hari nashwari Bunda uko salama ndio wa hatari Mi ni stima naogopwa kama kifo Wakisikia Bahati akili zinaingia default Mi navibe mi ndio Bob Marley Mbao ya Ronaldo wakojoe walale Mi ndio bump mtaslow down Mi sio wa kukam mi ni born town Ni fikra ya Bahati in the love like this