Ah, aahh, ayayaya Mpaka raha Unavyoonesha maajab Unanipa mapenzi huchaguisana, mtoto nikab Madhara ukivifuata vibabu Ukatae tembele uchague nyama unieke roho juu Hatari sana Mtoto kulbaiya Unavyonipa umoto Hatari ukinibania Unainjoi sana michezo ya kukutania Na chai tule ukoko Usiku wali bamia Mapenzi yetu mi na wewe Raha tele,(ayaya) Raha tele, (ayayaya) Raha tele, (ayaya) Raha tele Mapenzi yetu mi na wewe Raha tele, na kisura Raha tele, (ayaya) Raha tele, (oh ooh) Raha tele Mapenzi yetu mi na wewe (Ouuh) Nijuze, Nijuze kipi kinafanya unalia, (ooh) Nieleze mama Nieleze maana nshaanza kuchanganyikiwa (Aah) Ruksa kunifanya chambo Wakikuzingua nikapambane Nikulinde kama mgambo Ili mashorobalo wasikuone Koleza mama Koleza nazi kwa mchele Isambaga tuwaachie wenyewe Koleza darlin Koleza nazi kwa mchele Isambaga tuwaachie wenyewe Raha tele,(ayaya) Raha tele, (ayayaya) Raha tele, (ayaya) Raha tele Mapenzi yetu mi na wewe Raha tele, na kisura Raha tele, (ayaya) Raha tele, (oh ooh) Raha tele Mapenzi yetu mi na wewe Raha tele Nasikia raha, raha tele Nasikia furaha, raha tele Kuwa na wewe, raha tele Naona raha, raha tele Oh babe mama, raha tele Nakupenda sana, raha tele Raha tele, raha tele Raha telee