Jay, once again (Ney) Mapenzi tu, nimepagawa hamjui Ye kila mara ananifanya silali, namuwaza yeye tu Anayeweka roho yangu juu, ana utoto tu Sema uzuri ananipaga asali, mi nailamba tu Na penzi letu ni kama sunna, na ulinzi kama suma Hata akinuna, bado unapendeza mchumba Nkimuona ananichuna, msinioneye huruma Cha mtu huliwa na mtu, kutu yake chuma Basi mwambieni nampenda Sawa Sawa Sawa Anh, mwambieni nampenda (Yes) sawa (Right) sawa (Ah) sawa Huo utamu hasa nikiingia, akifungua gate naingia Akipanua neti naingia na wala sikwepeshi naingia Sina akili ya ku change idea, hapo-hapo nime mng'ang'ania Hapo-hapo nimeshikilia na visokorokwinyo mtaumia, naahaa Kwa hakika haya mapenzi Kusema kweli, yataniua Kwa hakika haya mapenzi Kusema kweli, yataniua Na penzi letu ni kama sunna, na ulinzi kama suma Hata akinuna, bado unapendeza mchumba Nkimuona ananichuna, msinioneye huruma Cha mtu huliwa na mtu, kutu yake chuma Basi mwambieni nampenda Sawa Sawa Sawa Anh, mwambieni nampenda (Yes) sawa (Right) sawa (Ah) sawa