Kwa nini ukiniitisha mi nashindwa kukunyima, Kamote Ukinituma nakimbia, izo ni kamote Utakuja kuni-murder, kamote Nione huruma mama (Pozee) Nilitaka tu niguse nilambe (Nilambe) Sikutaka twende far Nilitaka tu niguse nipepete (Nipepete) Sikutaka twende far Oh Diana, hii ni Kamote Navyo jifeel sielewi hii ni kamote Oh Diana, hii ni Kamote Navyo jifeel sielewi hii ni kamote Ona sa Diana umeni-murder nguvu Kila time tu ni sekete (Oh yeah) Diana umeni-murder nguvu Kila time tu ni sekete (Haki woie) Aii, Diana Ah, Diana, Diana Diana, ah, Diana Watoto wako naosha, tena napanguza yoh, aje? Chupi zako mi nafua tena nakausha yoh, aje? I'm in your house and I don't know why (Diana) Naosha vyombo and I don't know why (Haki walai) Now I've fallen deeply in love, kamote Ona sasa navyokupenda, kamote Hizi ni madumba mama Mimi mtoto wa mama Oh Diana, hii ni Kamote Navyo jifeel sielewi hii ni kamote Oh Diana, hii ni Kamote Navyo jifeel sielewi hii ni kamote Ona sa Diana umeni-murder nguvu Kila time tu ni sekete (Oh yeah) Diana umenimurder nguvu Kila time tu ni sekete (Haki woie) Aii, Diana Ah, Diana, Diana Diana, ah, Diana Watoto wako naosha, tena napanguza yoh, aje? Chupi zako mi nafua tena nakausha yoh, aje? Aii, Diana Ah, Diana, Diana Diana, ah, Diana Ona sa Diana umeni-murder nguvu Kila time tu ni sekete (Oh yeah) Diana umeni-murder nguvu Kila time tu ni sekete (Haki woie) Nilidhani itakuwa one night stand One night stand Nilidhani itakuwa one night stand One night stand