Pozze Leo si ni leo si ni Tebby B Leo si ni Friday Leo si ni Friday Leo si ni Friday tupige sherehe Friday piga sherehe Leo si ni Friday tupige sherehe Friday piga sherehe Mtoto pewa pombe kunywa pombe Lewa lewa kunywa pombe Inama chini kunywa pombe Shika rungu kunywa pombe Watu wa Gilbeys, tupewe pombe Watu wa changaa, tupewe pombe Watu wa Konyagi, tupewe pombe Watu wa Guarana, tupewe pombe Ma panty removers, eeh Watu wa Hennesy aah Asante, waiter asante Thankyou so much unaeza ishia Kwa mabega (Eeh) kwa matako (Eeh) Kwa katumbo chapa chupa Kwa mabega (Eeh) Kwa matako (Eeh) Kwa katumbo chapa chupa Leo si ni Friday Leo si ni Friday (Tupewe pombe) Leo si ni Friday tupige sherehe Friday piga sherehe Leo si ni Friday tupige sherehe Friday piga sherehe Mtoto pewa pombe kunywa pombe Lewa lewa kunywa pombe Inama chini kunywa pombe Kila mtu apige story yake ya pombe Mimi nikilewa mi huona niko London Aki walai si mi napenda pombe Mimi nikilewa nakuwanga dunia yangu Naona Raila ni baba yangu Siste na we (Pombe ni bae) Siste na we (Pombe ni bae) Na hata zikishika sikuwangi mloose Asante, waiter asante Thank you so much unaeza ishia Watu wa Gilbeys, tupewe pombe Watu wa changaa, tupewe pombe Watu wa Konyagi, tupewe pombe Watu wa Guarana, tupewe pombe Ma panty removers, eeh Watu wa Hennesy aah Asante, waiter asante Thank You so much unaeza ishia Kwa mabega (Eeh) kwa matako (Eeh) Kwa katumbo chapa chupa Kwa mabega (Eeh) kwa matako (Eeh) Kwa katumbo chapa chupa Leo si ni Friday Leo si ni Friday (Tupewe pombe) Leo si ni Friday tupige sherehe Friday piga sherehe Leo si ni Friday tupige sherehe Friday piga sherehe (Tupewe pombe) Shiko ni kama nimeibiwa simu, we umelewa Gai ako wapi Brayo? Hio ni pombe Ako wapi Kevo? Kevo ni baba ako? Wanaume hutumia watu vibaya Ata wewe unawatumia vibaya Si umekula pesa yao Umekunywa pombe yao Vumilia bana