Weelllaaaaa Nimechora Sana namfana Gado Nimechoka Kama naifanya Bado Naikata simu Bado mnasema halo Halo halo Star hash Bado number ni dash Bas punguza gas Mask ama ni cash Bado ganja ni drug Bado chama ni church March kama kichaa Ah Sawa ukijam Much power ni gun Yes pesa ni chai Yes gari ni bike Yes maji ni wine Imetoboka roho Imebomoka Imenitoka moyo Umenichosha mabawa Mahali imefika Mahali imefika Pan tambua me niko home Ka ni sambusa ni za machuom Pan tambua me niko home Ka ni sambusa ni za ma chuom Pan tambua me niko home Ka ni sambusa ni za machuom Pan tambua me niko home Ka ni sambusa ni za ma chuom Naifanya ka ka Kala mashaka Nairusha ra ra Rada huchacha Naifanya ka ka Kala mashaka Nainusa ba ba Bara baraka Staki uvivu nife na njaa Staki kukata ka ni haram Ka ni karam cash na motorcar Mood na photo man Views na kamadam Niko pahali napaa Niko mahali inafaa Mbali kufika mahali Mbali Na hali nlikaa Mbali na taa na makaa Mbali na baa na balaa Mbali na shaka mitaa Mbali na njaa Nimechora Sana namfana Gado Nimechoka Kama naifanya bado Naikata simu Bado mnasema halo Halo halo Pan tambua me niko Home Ka ni sambusa ni za machuom Pan tambua me niko home Ka ni sambusa ni za ma chuom Pan tambua me niko home Ka ni sambusa ni za machuom Pan tambua me niko home Ka ni sambusa ni za ma Nimechora Sana namfana Gado Nimechoka Kama naifanya bado Naikata simu Bado mnasema halo Halo halo