Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Chakula tam ni kama ni bad manaz Wanjiku dance kikamba tukibanana No table manners chunga usikose Balance Don't tell your mama rhumba usione haya Yani laddy daddy Mami mumunya mfupa Yani lovey dovey Pupa tafuna kucha Yani laddy daddy Mami mumunya mfupa Yani lovey dovey Pupa tafuna kucha Nitajipanga tena nitakukata Nitakupaka tena nitakulamba Ladha nitakutamba na kamba Nikunyanganye Nitakupamba macho zikudanganye Nitakulaza uchi nikutizame Uti tena nizame Ndimi nitakujaza Akili nyama na roho Nitakuroga Nitakuchanja kisiri nitakuchonga Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party Na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Chakula tam ni kama ni bad manaz Wanjiku dance kikamba tukibanana No table manners chunga usikose balance Don't tell your mama rhumba usione haya Yani laddy daddy Mami mumunya mfupa Yani lovey dovey Pupa tafuna kucha Yani laddy daddy Mami mumunya mfupa Yani lovey dovey Pupa tafuna kucha Me ntakutesa ah Me ntakudaka mahali Nitakurusha ah Me ntakuweka pressure Me ntakumenya menya Me ntakuweza Nakutafuna kucha Nakupuliza Nakukwaruza mfupa Nakupanguza Nakutafuna kucha Nakupuliza Nakukwaruza mfupa Nakupanguza Yani laddy daddy Mami mumunya mfupa Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Napatikana ni kama natakikana Na party sana kwa party na wasichana Chakula tam ni kama ni bad manaz