Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Ka ka ka Ka me ni wao Ka ka ka Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Ka ka ka Ka me ni wao Ka ka ka Ka me ni wao Sijaruhusu Fala amefika na hana plan Anataka kupika na hana njaa Fala amefika na hana plan Anataka miujiza na hana cash Fala amefika na hana plan Anataka kupika na hana njaa Fala amefika na hana plan Anataka miujiza na hana cash Anasema amekaa sana kwa jam jam Anasaka mafala wanasaka ham ham Wansaka news Few wanareview Few wanatema mate Tena wanakufa kiu Maji kibao ila kwa nuhu Akili zao ila mabubu Taji ni zao ila undugu Ka me ni wao sijaruhusu Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Ka ka ka Ka me ni wao Ka ka ka Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Sijaruhusu Ka me ni wao Ka ka ka Ka me ni wao Ka ka ka Ka me ni wao Sijaruhusu Mlevi hataki tena busaa Rahisi apewe sumu silaha Mcheshi hacheki tena kichaa Hadithi ya fisi sungura hua Na kazi kusingizia Afisa amefika bila silaha Amevaa mikeka za kishujaa Halali usiku yeye ni hatari Hajali ajali maisha kamari Anafwata upepo yeye ni bendera Anachana kipara yeye ni fukara Anafwata upepo yeye ni bendera Anachana kipara yeye ni fukara Anafwata upepo yeye ni bendera Anachana kipara yeye ni fukara Anafwata upepo yeye ni bendera Anachana kipara yeye ni Fala amefika na hana plan Anataka kupika na hana njaa Fala amefika na hana plan Anataka miujiza na hana cash Fala amefika na hana plan Anataka kupika na hana njaa Fala amefika na hana plan Anataka miujiza na hana cash Ka me ni wao sijaruhusu