Natafuna chai Na walaghai Natafuta uhai Na inaniwahi Fines kwa kujidai fine Na siko hai Nai Saa hii Ndani ya the people nipo Chanting kiwito nipo Siogopi kifo nipo Na ngozi dark times Na sina light yaani Sina fight ndani Lazima flight kite Na sina sight yaani Nalishwa ndimu me Mutu wa mbinu Nalipwa njugu me Mtu wa mungu Napigwa busu Kumbe nadungwa kisu Wivu nachomwa jivu Hadharani ila Kimoshi kitoki na kiliwashwa zamani Kikosi kichoki na kilisanywa gizani Be sure Chini chini kichini chini Sisi watu wa chini chini Kichini chini Chini chini kichini chini Sisi watu wa chini chini Kichini chini Chini chini kichini chini Sisi watu wa chini chini Kichini chini Chini chini kichini chini Sisi watu wa chini chini Chini Habari njema Kwetu za kisinema Vera sepetu wema Ni kile kinatembeza Na ni nyumba ndogo Nani anakula hongo Who ni nani who Who ni nani who Labaloo Dum di di di dum Dum di di di dum Dum di di di dum Sisi ni kama tumezoea Kila kipindi kukojolewa Sisi ni kama tumezoea Vita fitina kuchomekewa Sisi ni kama tumezoea Giza shetani wa kukemewa Maskini tajiri amefilisika Amechoka akili akaporomoka Maskini tajiri amefilisika Amekosa kimwili akasononeka Maskini tajiri amefilisika Ameshuka na ngazi za kusifika Chini chini kichini chini Sisi watu wa chini chini Kichini chini Chini chini kichini chini Sisi watu wa chini chini Kichini chini Chini chini kichini chini Sisi watu wa chini chini Kichini chini Chini chini kichini chini Sisi watu wa chini chini Chini Na ni nyumba ndogo Nani anakula hongo Who ni nani who Who ni nani who Na ni nyumba ndogo Nani anakula hongo Who ni nani who Who ni nani who Di di di dipa