Kishore Kumar Hits

Beka Flavour - Siwezi текст песни

Исполнитель: Beka Flavour

альбом: Siwezi


Mhhh haa hehehee Haaaaa haaa
Kila siku huwa unaniniuliza moja swalii ivi lini itakuja kuwa vizurii
Maana kila siku ahadii alafu azitimii
Kukuforce we kupanda kwenye bajajii
Wakati level zako we ni Lamborghini
Nakushushaga hadhi nauzuri wako huendani
Kaa ukijua kama riziki si mimi ni molaa
Uenda kesho atanipatiaa
Japo kidogo kunigawiaa
Nachojua kofuli hutumikaga wakati mvuaa
Ikinyeesha twafunikia pendo letu lisijekuloa
Aminii mama kutesa siwezi aaha
Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha
Aminii mama kutesa siwezi aaha
Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha
Mmh
Aaaha
Aaaha
Subira rafiki yake matumaini
Ukichanganya na salaa
Sivema kujilaumu kuwa na mimi
Eti kwasababu fukaraa
Natena we ndo nyongo kalia inii
Usinimwage kabwelaa
Penzi langu limeota mizizii chinii
Kungwooka haiwezi tena
Kaa ukijua kama riziki si mimi ni molaa
Uenda kesho atanipatiaa
Japo kidogo kunigawiaa
Nachojua kofuli hutumikaga wakati mvuaa
Ikinyeesha twafunikia pendo letu lisijekuloaa
Aminii mama kutesa siwezi aaha
Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha
Aminii mama kutesa siwezi aaha
Nasitoridhia wengine kupanda ngazi aaaha
Kipato changu kwako hakikizi mahitaji
Ahe nami niko razi nidundulize kwako
Nivilete vichenchii ahee
Ipo siku ntakuvisha shela
Me na wewe twawagee ubachela
Nikupeleke kwa mkubwa fela ahee
Ipo siku moja ntakuvisha shela
Wewe na me wewe twawagee ubachela
Nikupeleke kwetu ifakara ahee

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Chege

Исполнитель

K2ga

Исполнитель

Aslay

Исполнитель

Kusah

Исполнитель

killy

Исполнитель