Sivai kwa nguvu zako kinachokuuma ni niniiii Wala sili jasho lako kinakusumbua ni niniiii Sivai kwa nguvu zako kinachokuuma ni niniiii Wala sili jasho lako kinakusumbua ni niniiii Mimi mimi sikitaki chako Masimango masimango ni ya niniiii Mimi mimi sikitaki chako Masimango masimango ni ya niniiii Pumua kwenye safu yako aso mtu hana Mungu Pumua kwenye safu yako aso mtu hana Mungu Pumua kwenye safu yako aso mtu hana Mungu Pumua kwenye safu yako aso mtu hana Mungu Usininange usininange mlimwengu Mwana wa mwenzio usinitie mdomoni Usininange usininange mlimwengu Mwana wa mwenzio usinitie mdomoni Riziki ni kwa mafungu usiwe na choyo Mtoaji ni Maanani mtoaji ni Maananiii Riziki ni kwa mafungu usiwe na choyo Mtoaji ni Maanani mtoaji ni Maananiii Mimi namegewa changu walijuwa hilo Cha mtu cha kazi gani kazi gani Mimi namegewa changu walijuwa hilo Cha mtu cha kazi gani kazi gani Wakumi kapewa kumi wamoja usihangaike Wakumi kapewa kumi wamoja usihangaike Wakumi kapewa kumi wamoja usihangaike Wakumi kapewa kumi wamoja usihangaike Aso mtu hana Mungu hayo ni kweli Kiiherehere cha nini Aso mtu ana Mungu hayo ni kweli Kiiherehere cha nini Aso mtu hana hana Mungu Mbio usimuendee Chuki katu na majungu na majungu Yatakurudi mwenyewe Aso mtu hana hana Mungu Mbio usimuendee Chuki katu na majungu na majungu Yatakurudi mwenyewe Hazivunji ngome alizozijenga manani Nauseme useme sikujibu asilaniii Hazivunji ngome alioijenga manani Nauseme useme sikujibu asilaniii Lilililalalaaah Ulizani nitateseka msaada kunikhini Ukawa unanicheka vicheko vya batwaani Oohhhh Ulizani nitateseka msaada kunikhini Ukawa unanicheka vicheko vya batwaani Mola amenikumbuka chema kesha niauni Shida imeniondoka leo unaona sooni Mola amenikumbuka chema kesha niauni Shida imeniondoka leo unaona soo nini Shufaa ni ya Rabbana anetowa na kutwaa Shufaa ni ya Rabbana anetowa na kutwaa Shufaa ni ya Rabbana anetowa na kutwaa Shufaa ni ya Rabbana anetowa na kutwaa Kila jambo kwa muumba mja una kitu gani Ndie ninae muomba moyo ukatumainiii Ooohhhh Kila jambo kwa muumba mja una kitu gani Ndie ninae muomba moyo ukatumainiiiii Wewe bure unatamba kwa hivyo vyako vipeni Si mimi utonitimba hiyo yote mitihani Oohhhh Wewe bure unatamba kwa hivyo vyako vipeni Si mimi utonitimba hiyo yote mitihani Mola hakupi kilema akakukosesha mwendo Mola hakupi kilema akakukosesha mwendo Mola hakupi kilema akakukosesha mwendo Mola hakupi kilema akakukosesha mwendo Alokupa alokupa kiti wewe cha kukalia Kumbi akanipa mimi Alokupa alokupa kiti wewe cha kukalia Kumbi akanipa mimi Ni Mungu si mwengiine wee Sijitie tafrani Na kunitoa thamani na kunitoa thamaani Ni Mungu si mwengiine wee Usijitie tafrani Na kunitoa thamani na kunitoa thamaani Kwa vipi unibeuwe mara juu mara chini Huumkumbuki Manani mananiiii Kwa vipi unibeuwe mara juu mara chini Huumkumbuki Manani mananiiii Chuki ziondoe kwangu yatizame yaliyo yakoo Chuki ziondoe kwangu yatizame yaliyo yakoo Ooooohhhh Chuki ziondoe kwangu yatizame yaliyo yakoo Chuki ziondoe kwangu yatizame yaliyo yakoo Huwezi kuifuta kalamu ya rahmaani Ndio imeshaaandikaaa Ooooohhhh Huwezi kuifuta kalamu ya rahmaani Ndio imeshaaandikaaa Aso mtu hana mungu hana Mungu Mbio usimuendee Chuki katu na majungu na majungu Yatakurudi mwenyewe Hazivunji ngome alizozijenga manani Nauseme useme sikujibu asilaniii Hazivunji ngome alioijenga manani Nauseme useme sikujibu asilaniii