Kishore Kumar Hits

Nay Wa Mitego - Nakuja текст песни

Исполнитель: Nay Wa Mitego

альбом: Nakuja

Yea, yea
The Melanin Queen
Lavi Davi
(Chibby)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (najisogeza hee)
Hey darling, nakuita
Sema Kama unakuja nipate huakika
Si unapenda zege nishapika
Njoo fasta mwenzako zina mwagika
Nikuvutie ganja ndo nikule (aaah aah wewe tu)
Alafu nikugeuze geuze kama kitumbua vile (aaah aah wewe tu)
Mi' sina muda wakupoteza eh
(Basi nakuja, najisogeza hee)
Mi' sina muda baby wakupoteza eh
(Basi nakuja darling, najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (najisogeza hee)
Niambie wapi ulipo mpenzi? (najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (najisogeza hee)

Uuh uh
Ukini-cheat moyo utauma hapa hapa
Sogea usikeze unavyo dunda hapa hapa
Ukiwa mbali unanipa mashaka shaka
Sitaki ugonjwa wa presha aka aka
Oh! no, no, no
Sikuachi, sikusaliti
Sikuumizi kabisaaa kabisa
Nikuvutie ganja ndo nikule (aaah aah wewe tu)
Alafu nikugeuze geuze kama kitumbua vile (aaah aah wewe tu)
Mi' sina muda wakupoteza hee
(Basi nakuja, najisogeza hee)
Mi' sina muda baby wakupoteza hee
(Basi nakuja darling, najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (najisogeza hee)
Niambie wapi ulipo mpenzi? (najisogeza hee)
Tell me where you are?
Tell me where you are baby? (najisogeza hee)

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Phina

Исполнитель

Whozu

Исполнитель