Kishore Kumar Hits

Mathias Walichupa - Ni Upendo текст песни

Исполнитель: Mathias Walichupa

альбом: Ni Upendo


Mmmh
Siri ya furaha yangu
Imo ndani ya pendo lako
Uthamani wa uo
Utu wangu
Umejengwa
Na pendo lako
Mmh si rahisi
Kuyahesabu (uuh)
Maana ni mengi haya
Mapenzi yako
Na nikiyatafakari
Iiiih
Naona
Nimependelewa
Nawe
Marangoni mwako
Ninakushukuru
Asante Bwana
This love is beautiful
Uhuu Beautiful
Love is beautiful
Kwa kelele za shangwe
Mi Ninakutukuza
Bwana
Oooh utukuzwe eeh
Bwana
Kwa mengi umetenda
Naona
Ni upendo wako
Kuwa hivi nilivyo
Upendo wako
Sababu ni (aah)
Ni upendo wako Bwana
Bwana YESU
Upendo wako
Mengi umetenda
Ni upendo wako
Bwana
Ni Upendo wako
Ni Upendo wako Bwana
Halleluya
Upendo wako
Nanana nanana
Nanananana
Nanana
Ulitazamae
Kusudi lililofichwa
Eeh
Kati ya mengi
Yangu madhaifu
Mungu mwaminifu
Wa nyakati zote
Oooh
Faraja ya kweli
Idumuyo
Halleluya
Nitaipaza sauti
Siku zote
Nikuimbiye
Kwa maana
Wewe ni mwema
Unaishi ndani yangu
Matendo yako ya ajabu
Fadhiri zako za milele
Sahibu wangu adonai
Uinuliwe
Marangoni mwako
Ninakushukuru (Asante Bwana)
This love is beautiful
Love is beautiful
Kwa kelele za shangwe
Mi Ninakutukuza
Bwana
Oooh utukuzwe
Bwana
Kwa mengi umetenda
Naona
Ni upendo wako
Kuwa hivi nilivyo
Upendo wakoo
Sababu ni
Ni upendo wako Bwana
Bwana YESU
Upendo wako
Mengi umetenda
Ni upendo wako
Bwana
Upendo wako
Ni Upendo wako Bwana
Umetuvusha
Upendo wako
Mmh Nanana nanana
Nanananana
Nanana

Поcмотреть все песни артиста

Другие альбомы исполнителя

Похожие исполнители

Jux

Исполнитель