Uh uuuh uuuh Baby baby Yeeeeah Mocco Hivi umeshushwa maana upo byee bomba Na nimestushwa na utamu peremende ulionao Mapenzi ya kikubwa unayonimwagia ni raha sana mama mama Na leo nikifa nibaki jirudia ni takeover ni takeover in your mind Unanimpress unanipa raha no stress (eeh) Kukuvesha shela sio kesi Tuombe Mungu a-bless (eeh) Baby you are my princess I put smile on your face (eeh) Natuombe kwa Mungu nizikwe nawewe daima Omukwano gwo (ah ah aah) na-enjoy Penzi lako (ah ah aah) niko niko hoi Omukwano gwo (ah ah aah) na-enjoy Penzi lako (ah ah aah) niko hoi Omukwano gwo Omukwano gwo Omukwano gwo Omukwano gwo Mzima Mzima kama chatu nimeze baby Nichange ka pasa za upatu ni-makemake Ooh Sinora (Sinora eeh) nitakuoa nitakuoa Usijali vile vimasika tu we uko na mimi Unanimpress unanipa raha no stress (no stress oh) Kukuvesha shela sio kesi (hey) Tuombe Mungu a-bless Baby you are my princess I put smile on your face Natuombe kwa Mungu nizikwe nawewe daima Omukwano gwo (ah ah aah) na-enjoy Penzi lako (ah ah aah) niko hoi Omukwano gwo (ah ah aah) na-enjoy Penzi lako (ah ah aah) niko hoi Omukwano gwo Omukwano gwo Omukwano gwo Omukwano gwo Njoooo Omukwano gwo Nitakupenda nitakulinda mimi nawe Ooh my baby mimi nawe 'cause I got you Nitakupenda nitakulinda mimi nawe Ooh my baby mama mama