Mola kammumba Hana Mfano Weee Mzuri wa Sura na Roho Na Njema Tabia Iyaaaa. Unyagoni Kafundwa kwa makungwi somo weee Mahaba Kayajaza ndoo Yananimwagikia Iyaaaa Natamani Nimtaje Hata Jina ila Naficha Naficha Naifanya siri yangu Kina Fulani wale wakusigina mkaleta (mapicha)×2 akatoroka Ndege wangu Si mrefu si mufupi (ah eh) Si Mweupe Si Mweusi (ah eh) Rangi Yake ni ya katikati Kasema kwangu hafurukuti (ah eh) Kwengine Anaogopa Nuksi (ah eh) Mi ni wake milele Haniachi ndo maana Nampenda Mpenda (nani) Kijana mmoja (nani) Amenifika Kwa roho Makopakopa (kopa) Nampenda Mpenda (nani) Kijana mmoja (nani) Ila Kumtaja oooh naogopa ogopa Kwa jina namuhifadhi Desh Desh Desh Desh, Msije kuninyakulia Desh Desh Desh Desh, Kipenzi changu Jamani Desh Desh Desh Desh, Mkaja kuniharibia Desh Desh Desh, Penzi Likawa Mashakani Nananaa! Nna Nna Nananaaa! Nna Nna! Nananaa! Nna Nna! Najua Najua Roho Zinawauma Hampendi Kuona Mwenzenu Na Nawiri Najua mwenzenu najua Mwakesha Kujituma Kutwa kwa masangoma Yangu Kuyatabiri Mlosema nimeachika Hainifiki mikosi Mola ndo mpaji Nyongo Mtazitapika Mchomwe Jua la Utosi kesheni kunijaji Mwenzenu kila kukicha kabla kupewa misosi Masaji masaji Tunavyowakasirisha yani hata tukiposti hataki nimtag Enhee si mtu wamagazeti wala page za udaku ilo mkae mjua Hataki Taki Eenhe Enheee mambo yake siri nyeti poleni washakunaku wala msijisumbue Kumsachi sachi Nampenda Mpenda (nani) Kijana mmoja (nani) Kijana mmmoja (nani) Amenifika kwa roho Makopa kopa (kopa) Nampenda mpenda (nani) Kijana mmoja (nani) Ila kumtaja oooh naogopa ogopa Kwa jina namuhifadhi Desh Desh Desh Desh Msije kuninyakulia Desh Desh Deeeesh Kipenzi changu jamani Desh Desh Desh Desh Mkaja Kuniharibia Desh desh Desh Penzi likawa mashakani Nananaa! Nna Nna! Nananaa! Nna Nna! Nanananaa! Nna! Nna!