Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Nasikia unaruka matuta Hivi nami umeskia natembea na mafuta (umeskia) Kanywa bia za makuruta Kachezeshwa mashuu kashikishwa ukuta (umeskia) Hivi hujaskia kwamba nina mihela Au umeskia umekausha imekukera (umeskia) Ka unapiga piga kisela Demu mwenyewe mbovu anabebwa na camera (umeskia) Hivi hujaskia kwamba si mapopo Hatuchaguagi sehemu ya kurukaga makopo (umeskia) Ujana changamoto Yani nalewa juu chini kunawaka moto (umeskia) Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Unacheka na haujachekeshwa Upendo wa kweli upo brother mchawi pesa tu (umeskia) Bila kwikwi bila hata presha Shemeji analika tatizo lako wenge (kumaanisha nini) Upo nyonyo niko mbupu Nilikosa wese ila chupuchupu Eti chips ndogo kuku nusu Malaya unajua kukatika au umeme wa luku nyoo Usitie chumvi kwenye sugar man Hakuna baridi piga stori vizuri na jirani (umeskia) Mwaga pesa kama njugu man Hakuna kibamia inategemea una pesa gani (umeskia) Wadangaji eeeh mi ndo danga lenu Mkiweza nichune me ndo buzi lenu Masela eeeh mi ndo mchizi wenu Mwagilia moyo bwana siyo shida zenu Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua Nasikia unavyozagamua Hivi nawe unasikia navyoizagamua