Yuuuuuh tarararah Ukiona mwanaume kwa hali ya kulia Ujue kwamba ameguswa pahali Sio rahisi si kawaida kushuhudia Mwanaume akitoa machozi Hapo zamani nilidhani Mwanaume akipoteza kazi ndio uchungu ndio unyonge Kumbe mapenzi ndio sumu kali Inayofanya mwanaume kulia kama mtoto Kama kibogoyo Habembelezwi, hanyamazishwi Machozi yake inatoka ikienda tumboni Habembelezwi, hanyamazishwi Machozi yake inatoka ikienda tumboni Mulika mwizi (mulika na tochi mulika) Mulika mwizi (kama kuna giza mulika) Nimulikie mwizi, nasumbuka nataka kujua Nani mwizi wa mapenzi? Kwa barua pepe kwa simu ya nundu Ujumbe mfupi unafutwa kwa sekunde tatu (Sekunde tatu), nilimpenda baby wangu Nikampea Roho yangu Amechukuliwa, amenyakuliwa Kama fulani apa mtaani Mwenye magari na mapesa amechukua baby Ikanifanya crayz Sibembelezwi, sinyamazishwi Machozi yangu inatoka ikienda tumboni Nisiomboleze? Ninamjua huyu jamaa Anajifanya bubu wengine vipofu Mulika mwizi jamani (mulika mwizi) Nimulikie mwizi (mulika mwizi) Nimulikie mwizi, nasumbuka nataka kujua Nani mwizi wa mapenzi? Nani mwizi wa mapenzi? Ukiona baby wako anaingia kwa bafu na simu mkononi Huyo ni mwizi (mulika mwizi) Ukiona mzee wako anazima simu kila mara akiwa kwa nyumba Mulika mwizi (mulika mwizi) Ohoooo oh, ohooo oh, oooooh Ohoooo (nimulikie mwizi jamani) ohh Mulika mwizi, nionyeshe niambie ni wapi? Mulika mwizi, mwizi wa mapenzi, mwizi wa mapenzi Mulika mwizi, nani mwizi wa mapenzi (mulika mwizi) Nani mwizi wa mapenzi (nimulikie mwizi) Yu waniua (mulika mwizi), you waniumiza Ohhh (mulika na tochi) oh Tazama mbele, tazama nyumba Kila mtu mwizi wa mapenzi Kila mtu mwizi wa mapenzi Pia mimi mwizi wa mapenzi.