Vile ninavyoona Vile ninavyohisi Sikai kama mtu Anaficha hisia Huwezi kuficha moto moshi ikitokea Ukificha mapenzi wee unaumia ndani ndani Nashindwa kuelewa Hii ni mwenendo gani Taratibu ni vema lakini isiwe kunirusha inje Wacha nikupende mpenzi Wacha nikuhisi ndani ndani Nishike mkononi twende mbali Kwetu (ingawa mbali) Kwetu (huko ni nyumbani) Kwetu, ntakubeba kwetu Taratibu ni vema Lakini kusiwe mwengine Nielezee kwa nini wee una hofu na mimi Nakupenda I love you Je t'aime Hakika Tazama Uso wangu Nimekumbwa Na mzozo wa kiumapenzi Natangaza wazi Hadharani Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona Wacha nikupende mpenzi Wacha nikuhisi ndani ndani Nishike mkononi twende mbali Kwetu (ingawa mbali) Kwetu (huko ni nyumbani) Kwetu, ntakubeba kwetu Wacha nikupende mpenzi Wacha nikuhisi ndani ndani Nishike mkononi twende mbali Kwetu (ingawa mbali) Kwetu (huko ni nyumbani) Kwetu, ntakubeba kwetu Natangaza wazi Hadharani Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona Wacha nikupende mpenzi Wacha nikuhisi ndani ndani Nishike mkononi twende mbali Kwetu (ingawa mbali) Kwetu (huko ni nyumbani) Kwetu, ntakubeba kwetu Wacha nikupende mpenzi Wacha nikuhisi ndani ndani Nishike mkononi twende mbali Kwetu (ingawa mbali) Kwetu (huko ni nyumbani) Kwetu, ntakubeba kwetu