Chocolate kalambaje? Na hata sielewi kanipata pata Kwani kanipata aje Ameniweza weza nimenata nata Kwa penzi nakupenda Na nashindwa kukukataa Ndo ujinga huo Umeniweza weza Umenipa limbwata Ndo nini hivyo Ukinipata penzi basi pia zima data Ndo chips hizo Na vinyama nyama pilipili washa Ndo tamu hivo Baby walahi Do me, do me, do me Do me, do me, do me Naandaa kiberiti niwashe moto Baba leta ukuni Do me, do me, do me (Do me aii) Do me, do me, do me (Do me aii) Naandaa kiberiti niwashe moto Baba leta ukuni (Do me aii) Nafikiri uliumbwa Kwa ajili yangu mahususi Na kila Nikikutazama Nafaa nifikirie harusi Nafiki kutumia shela Nafikiri kuhusu suti Sifikirii kutumia kinga Hata waseme una virusi Viuno vingi kama Christian Bella Peace ya msela African princess na ndela Hata warika na mapunga waje kula mchele Si wanatoa siri za nyuma twawapa siti za mbele Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio Nisamehe kama napokwona sio Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio Nisamehe kama napokwona sio Vile kata, kata ukapinda mgongo Uliposema tangu ukawachanganya wabongo Vile sikupakii mkenya wala sikupakii mcongo Labda arushe matofali maana nishazoea madongo Do me, do me, do me (Do me aii) Do me, do me, do me (Do me aii) Naandaa kiberiti niwashe moto Baba leta ukuni (Do me aii) Do me, do me, do me (Do me aii) Do me, do me, do me (Do me aii) Naandaa kiberiti niwashe moto Baba leta ukuni (Do me aii)