I feel ka niko dubai tunalula nyama choma Baby umeniweza na we Tukaruke na magoma Sheri motema na ngae Kama ganja tutachoma For real nitaondoka nawe Hata kama ukigoma Natamani nilewe niondoke na we Ah mapema Utafanya makosa nisipoondoka nawe Ah ukigoma Nakusihi utakacho nakupa wazi mamacho Wasiondoke na wewe Yako mikato Michoro flani pikaso Najimaliza mwenyewe Oh sheri (tetera) Sheri (tetera) Sheri (tetera) sheri motema na ngae Oh sheri (tetera) Sheri (tetera) (oh na mususu nayo) Sheri (tetera) Sheri motema na ngai Oh sheri (tetera) Sheri (tetera) (baby naamba nawe) Sheri (tetera) sheri motema na ngae Oh sheri (tetera) Sheri (tetera) (o nakukunda chane) Sheri (teter) a sheri motema na ngae Ingekuwa chumbani ningeweweseka nawe Kwenye sita kwa sita zile purupushani Za kuseleleka na we Kwenye chaki napita pita Kifuani saa sita mamacita Babarita ulivyo bebi face Sinyora magarita Sinyorita kama picha tupige kiface Mawe ni queen queen tena rasmi Na umekaa kimjini jini yani nasty Nafa kuwa nawe kwa napkin Na udumu dumu nitupe kwa dustbin Na nilitaka nkufwate Nkuambie ya kwamba nataka nkwambie umebamba uyu mkaka Kimbia kwenye shamba amenata aliye ka mdananda alechacha Nakusihi utakacho nakupa wazi mamacho Wasiondoke na wewe Yako mikato Michoro flani pikaso Najimaliza mwenyewe Oh sheri (tetera) Sheri (tetera) Sheri (tetera) sheri motema na ngae Oh sheri (tetera) Sheri (tetera) (oh na mususu nayo) Sheri (tetera) Sheri motema na ngai Oh sheri (tetera) Sheri (tetera) (baby naamba nawe) Sheri (tetera) sheri motema na ngae Oh sheri (tetera) Sheri (tetera) (o nakukunda chane) Sheri (teter) a sheri motema na ngae Baby give me your number sweetie, oh baby Please give me your number sweetie, oh baby Baby give me your number sweetie, oh baby Please give me your number sweetie, oh baby Kwanza kifuani saa sita mamacita Babarita ulivyo bebi face Sinyora magarita Sinyorita kama picha tupige kiface